Kama ushawahi kusikia kuwa fasihi ni kazi ya kisanaa inayotumia lugha ili kufikisha ujumbe kwa jamii basi huu ndio mfano halisii 🔥 kazi nzuri, story nzuri na pia inalenga na kufundisha jamii,📌
Manyanya wewe kinacho baki tu ukapambane na king Ray vicent kigosi unaweza sana Manyanya hebu wangapi wanao mkubali Manyanya jamani nimekupendea kimoja babu uko serious sana mno❤❤❤❤❤❤❤
Yani ni ukweli usiopingika kuwa wanawake walio jiona wamesoma sana kamwe huwezi kumfanya awe chini Yako .. kama unakubalian na mim gonga like na usiache kucoment
Hivi Kuna wanawake wenye ujasil kama Vai wenje uwezo wa kujibu vile kwa waume zao,,,,😮 na Kuna wanaume kama mzee wa ngeli wenye unyenyekev kwa wake zao
Waaa aki hii kitu sio rahisi vile wa ona mm nko na hali hii mpk sahii nko Lebanon bt bado nampenda imagine juu ni mlevi chakari lakini anabidii akiacha siku mbili tatu hanywi pombe twapanga vitu zetu za maana,nampenda❤❤❤ sana mume wangu na sitachoka kumuombea mpk mahali niliko namuombea
Mtunzi wa hii story syo level ya kawaida kama umeliona hilo like yako mhimu maaana 🤔🔥🔥🔥🔥😂😂 hatari
Nakubali
Like ya Nini kumamaye wewe
Huyu ni manyanya
Umeona nikiboko
Hizi ni level za juu sana,kuleeee kileleni
Manyanya ni kanumba ajaye huyu mkaka anaweza me namkubali wanaomkubali Kam mm like ziwe nyingi
Sema Hana mvuto
😂😂😂 matiii
Kabisa ❤❤❤
Yupo RK
❤❤❤𝐒𝐮𝐫𝐞 𝐡𝐢𝐢 𝐦𝐨𝐯𝐢𝐞 𝐢𝐧𝐚𝐧𝐢𝐟𝐚𝐫𝐢𝐣𝐢😅😊
Manyanya umetisha sanaa wanaomkubali Manyanya tujuane
Kabisa
Tuko hapo
Jamani naomba hio nyimbo
@@johnnybanza5370
J😊olo
Op
Anajua had anajua tena
Kama ushawahi kusikia kuwa fasihi ni kazi ya kisanaa inayotumia lugha ili kufikisha ujumbe kwa jamii basi huu ndio mfano halisii 🔥 kazi nzuri, story nzuri na pia inalenga na kufundisha jamii,📌
Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe🙌🙌🙌
Kabisaaaa
Ni kweli kabisa
Huyo vai huyo
Vaileth
Ndo anafundisha hpo dada
DUH SJAWAHI KUONA MOVIE 🎥 KALI KAMA HII AISEE DUH ❤❤❤❤
Mudi na mke wake nawapenda😂😂😂😂😂
Mnoooo😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
Saana 😂😂😂😂
😅😅
Wanatisha
Ata mim jmn nawapenda
Mchungaji akili haitaki mwili unataka 😂😂😂😂😂
Church Boy leo kapewa mzigo cha lazima😢😢😢😢....kabakwa....yeyote aliye tazama hii episode abarikiwe🙏🙏🙏🙏
😂😂😂amebakwa masking 😅
Church boy kapewa utelezi bila kupenda
Tubarikiwe kisa church boy kabakwa au movie tamu😂😂😂😂😂😂
Church boy kautaka mwenyewe Yani we geto malaya unaingia kila mara we huogopi?
The one who wrote this is on another level Dunia hii Iko ivo kwenye movie hii based on true story love this weka likes if you support this
Kweli kabisa n true story
Wakuu kwel hili igizo niatari San 😅😅😅😅😅 wanao kubaliana na me wagonge like apo chin na tuipe mauwa yake hii movie 🎉🎉🎉
Number 1 today Guys team strong hoyeeeee
Aki wew mlevi ati unataka kunya😂😂😂😂
Yn hii story km mmenitungia mim jmn, pole matilda kw unayopitia naelewa hayo maumivu maan hat mim yalixhanijutaga.... nilikosa raha hat y dunia kbx😢😢😢
Jitizame huenda umefanyiwa hasada
Manyanya wewe kinacho baki tu ukapambane na king Ray vicent kigosi unaweza sana Manyanya hebu wangapi wanao mkubali Manyanya jamani nimekupendea kimoja babu uko serious sana mno❤❤❤❤❤❤❤
napenda anavoongea kiingereza kilicho nyooka na rafudhi yake
Huyu amekuja kuziba pengo la kanumba❤
❤❤❤❤❤
Mm nampenda sn n namkubali halafu hicho kimombo kwisha mie
🎉🎉🎉🎉
Wadada wenye ndoa zao n changa hii movie inatuhusu inamafunzo mazur❤❤❤❤❤
Muandishi wa iyi movie mungu amubariki na amuzidishiye kipaji chake
Huyu manyanya kaigiza vizuli sana jamani nimewakubali sana hapa sasa umefanya cha maana kuwafkuza hao wamaman❤❤❤❤❤❤
Maisha ya mudi ya mkewe ndio mazuri nimeyapenda😂😂😂😂😂
Wananifurahisha mie nikiwaona❤❤❤❤
😂😂😂😂
😂😂hawana stress😂
Manyanya big up huyu ni mtanzania kwl anaongea kizungu safi
Illtakwa kasoma sana
Bado changamoto za kuishi na mlevi ni nyingi sana jaman ... Heeeh wanawake wanavumilia yote sababu ya ❤
Kiukweli mtunzi yuko vizuri sana hii move inamafunzo mengi mno🙏🙏
MWENYE NAMBA ZA HUYU MATT ANIPE JAMANI, 😂😂😂 OYA NIMETANIA ILA KIUKWELI ANAJUA ZAIDI YA SANA, HONGERA SANA TEAM DUNIA SERIES🎉🎉🎉
Unataka kupelekewa moto ukawe taila😂😂
@@NajmaRajabu-q8e 🤣🤣🤣 ndiyo kitu napenda
😂😂😂
@@KibweOnlineTv 😁😁ngojatukuombee namba
@@NajmaRajabu-q8e hahaha😂🤣 sawa
Kaziiii iendeleeeeee😅😅😅matldaaaaa kablokiwqaa kujitambulishaaaa tuuuu imeishaaaa😅😅😅
Namba Moja toka mbeya hapa big up Kwa manyanya
Isee kumbe nimechelewa kuangalia huu movies aisee ni moto 🔥 wa Hollywood na Bollywood
Daah na wakubali Sana team manyanya mko vizuri sana movie kali hii inaitwa kaah mbali na watoto ❤❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥🌟💥
Mati Kabaka 😂😂😂😂😂 Yan mwamba kakaza sauti mwishiwe taratiba kalegeza hiiimambo hata adamu uvumilivu ulimshinda 😂😂😂😂
😅😅😅😅
Wallah nimeipenda bila kutarajia ❤❤❤❤kazi nzuri
Daaah ila Hawa wamama wa mke wa manyanya daaah😂😂😂😂😂, wanamjaza ujinga tu
😂😂😂tena. Kwa nguvu Sana🙌
Ni wajinga mno😅😅😅😅😅😅 yanachekesha haya majimama uwiii😂😂😂😂😂
@@EsterinahPaulAta siwapendi
To be a wife to Mudi is a full time job with no offs and allowance 😂😂😂😂maskin mke wake nimvumilivu
Respect nawakubal sana hakika mmepangilia story vzr hakika mungu awabarki muzid kuleta kaz nzr
Mm kwenye Dunia sijawahi pewa Like hebu Leo mnipeni hata 5
Nenda kwa p Diddy ukapewe,
Tunataka maoni
Hngera kwamuvi zako❤
@@arthurmagwagu7689😂😂😂
Nenda Facebook
Kutoka south Africa...❤❤❤❤❤
Hii mbona Kali .....ETI Vai....❤ Church boy😂... Mke WA Mlevi ❤❤❤❤❤😂😂😂
Huyu mama wa kibenten ni noma sanaaa😂😂 na anavoshupalia kwenye kuongea mapaka mishipa ya shingo inamtoka😂
Ha? Ha?haa? mati mati mati tunatenda dhambi amani mimi jamani😁😁😂😂😂😂😂🤣 daaaaaaah mchungaji kala kondoo ajae
Yaan mud na mkewe nawapenda❤😂😂😂
😂😂😂nimekufa na cheko mwenzio hapa
Ukweli ingekuwa move hii imetolewa na akina frani ingepata like nyingi sana, ila basi, lakini nzuri sana
Very wonderful season, mnajua kweli tasnia ya bongo muvi imebadilika sasa ni upepo wa timu clam vevo na Kicheche tuuh...
Na chado master
Kabisa hawa wana wameamua kubadilisha tasnia ya bongo movie
Hii movie ndo naijua leo ils manyanya n🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂 Itabidi huyu Mohamed cha pombe aandikiwe wimbo maana amejaa vituko😊😅😅😅
Xxxx polo no video
Hii movie ni Kali sana au mnasemaje wanangu kama mnaikubal gonga like.❤❤
Manyanya umetusalit wanaume wenye misimamo,mwanzo umeanza vzr mwisho umezngua
Mmh😂😂😂
Amezingua sana
Anatak furaha ya mke wake jamaniii
Hongereni mnajuaha na mmetufundisha sana na mke wangu hii muvi""
Matrida hebu kitulize hicho kipochi manyoya chako jamani, kheee eti najinyeaaaa jamani wake wa walevi hongereni mnoooo maana 🙌🙌
Kimwanamke hiki.kumbe kuna wanawake wanapenda.wafanye mapenzi kabla.ya ndoa heee
Yani ni ukweli usiopingika kuwa wanawake walio jiona wamesoma sana kamwe huwezi kumfanya awe chini Yako .. kama unakubalian na mim gonga like na usiache kucoment
Wanaokipenda kipande cha mudi na mkewe mikono juu😅 kunya tena🙌
Yani ni series saf imekamilika kila idara
Fantastic congratulation team manyanya
Ila chach boy dah najiona mm😂 all in all ikovizur i like that
Bora umewatumua watu wazima ovyo. Wanambemenda mke wa mtu ki fikra😂😂😂😂
😂😂😂😂
Wanamvunjia ndoa hao
Nimeamin mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzie Yan wanatak kumvurugia dada wa watu ndoa yake jmn
Duh kabisa
Wananikera sana mimi
Mati mbakaji ume mbaka mchungaji 😂😂 utaenda motoni😂😂😅😅❤❤❤ ongera jameni
Kazi Yenu nzuri sana endeleeni kuelimisha jamiii
Hahaha mati mxhenzi a
Namualibu Chachi boy😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Matilda mwanaume huwa akomeshwi wajikomesha mwenyewe utashindanaje na wanaume 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kabisa huyo alikua sahii kwake unadhan atamchukuliaje
😂😂😂uyomudi kilio tena😂😂😂 nimecheka Kwa sauti jamani 😂😂 wale wa mbege tujuane jamanii😂😂😂😂
Naona iyi muvie niya kwanza kabisa useme tu! Batu abaoni ❤
Makopakopa❤❤❤❤ kama hayo ni shida sana omba yasikukute inauma sana dah yani hata chizi hajiui kama ni chizi
Mati leo umemmaliza church boy. Lazima agonge mzigo kilazima. Nawapenda nikiwa hapa kenya nawafatilia. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mmh hii kweli ni bonge la muvi❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹
Mwanaume mlevi naishije nae sasa eti sitaki kukojoa nataka kunyaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
😂😂😂😂😂 hahaha 😂🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂😂
😅😅
Iyo akili ya mati ndo yangu sasa ikishakuwa na mwanaume😂😂😂
Siku Matilda akiangukia ktk mikono ya MANYANYA, i swear VAI unakwenda kuzikwa hai.
Kweli kabisa
Kabisaaaaaa
😂😂😂😂naiwe hivyo
Na mie nawaza hivyo hivyo namuona vai atakuja teseka Hadi akome
At mm natamani iwe ivyo cz uy Vai anaker Kwa kwel
Church boy kamblock sababu kaona sio mke wa matendo yake. Wallai hii movie big up🎉 best Bongo movie yenye mavunzo. 💯 Yani Dunia yenye mafunzo yote ..🎉
Oiaa mi ningepiga kelele.. kujitunza miaka kadhaa kuaribiwa ndani ya siku moja
Mimi Leo pia nimewahi jamani naombeni like zenu basiii
Manyanya uko vizuri baba hao wabibi sio poa siku zote wewe nikichwa tuu ila mkeo atakuja juta pale utakapo pata mchepuko Ambae .yeye ndio sababu😢😢
Church boy 😂😂kala mambo na yeye kakimbia
Kakomeshwa shwaaaaa😂😂
Hajatenda dhambi amebakwa@@johnmasha119
Nilikuwa natafuta hii comment😂😂
@Puxladen 😃
😂😂😂😂😂
kazi mzr sana inamafunzo sanaa asante manyanya ubarikiwe sanaa🤲🤲🙏❤️❤️❤️
Mudiii unaharibu kwerii madamu mudii pore sana nakunda
Good 👍movie zuri mnajitaidi sana kutuelemisha
😂😂😂😂 church boy akuna mkate mgumu mbele ya chai atimaye amli ya sita imevunjwa
😂😂
😂😂🤣🤣🤣
😂😂😂😂
😅😅😅
Ngoja nimalize kuangalia basi😂
Kazi nzuri nawapenda sana kutoka rwanda
Church boy kapewa hesabu ya kukokotoa😀😀
𝒂𝒍𝒊𝒇𝒂𝒕𝒂 𝒏𝒏 𝒌𝒎 𝒂𝒍𝒊𝒌𝒖𝒂 𝒂𝒕𝒂𝒌𝒊 😂😂😂𝒎𝒕𝒕 𝒌𝒂𝒖𝒕𝒂𝒌𝒂
🤣🤣
@@NeemaAlphonce-u9j😂😂😂😂
Alo kumbe unajua kiasi hiki dah mungu akusaidie ufike mbali zaid tuko pamoja na wewe shabiki zako ❤❤❤🔥🔥💪 good job
Kazi nzuri manyanya fukuza ayo ma gumegume
Watoto wa Elfu mbili kazi iko apa Kwenye Dunia bembe to Thé World 🌏💪🇨🇩
Dida amefaliki jamani tumombee jaman
Amani amekwisha 😂😂😂😂 hongera kwa movie kali🎉
Kama unamkubali church boy du kaanguka vibaya dhambini kwakweli na manyanya ni mtu anaejua kucheza umwanaume na kama anaijua ndoa sana😂😂😂😂😂
Aseee sindi ni kavaa character ya uvumilivu kongole kwake
Heee mudi siwesi mpeleka eti ninyee😂😂😂😂
Kaz nzuri sana kuwah kuiona asanteeeeee nakubal❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hivi Kuna wanawake wenye ujasil kama Vai wenje uwezo wa kujibu vile kwa waume zao,,,,😮 na Kuna wanaume kama mzee wa ngeli wenye unyenyekev kwa wake zao
𝐭𝐮𝐦𝐩𝐞 𝐦𝐮𝐝𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐦𝐥𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐭𝐨 𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐮𝐫𝐚𝐟𝐢𝐤𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐤𝐞 𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐧𝐚 𝐦𝐭𝐮 𝐚𝐬𝐢𝐨𝐨𝐥𝐞𝐰𝐚
wapo wengi tu
Aisee kusema kweli hii story ipo vizuri Kila sector mmefit....... movie yangu ya mwaka hii 🔥🔥🔥🔥
Hii mishangazi inampoteza Vai jamani gonga like hp
mishangazi au mibibi😂😂😂 aki walai
@@BeatriceMussa-y4b😂😂😂 et io ni miajuza sio mishangazi
Waaa aki hii kitu sio rahisi vile wa ona mm nko na hali hii mpk sahii nko Lebanon bt bado nampenda imagine juu ni mlevi chakari lakini anabidii akiacha siku mbili tatu hanywi pombe twapanga vitu zetu za maana,nampenda❤❤❤ sana mume wangu na sitachoka kumuombea mpk mahali niliko namuombea
Yaan apo Manyanya umekosea kuwaomba msamaha hao Malikia kaharaba aswa uyo bonge mama yake kilukuu ana mdomo sana 😂😂😂😂😂😂😂
Mbona karaba tena😂😂😂😂😂
Aisee uyu manyanya namba ingne🎉🎉
Mudy na mke wake 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ sana sana sanaa❤❤❤❤😂
😂😂😂😂😂😂hatari sana
Rafiki wa martie ni msukuma mmoja hv kajitahid kuficha kiswahilchake cha kisukuma ila kinakuja tu! Safi sana umetuwakilisha vyema
WA KWANZA LEO EWE UNAESOMA HII COMMENT MUNGU AKUZIDISHIE RIZIKI ZAKO NA AKUPE MAISHA MAREFU AMEEN🙏🙏🙏🙏
Aminaa🙏🙏
Amina 🙏
Amina
Ameen
Amina🙏🙏
❤manya nya kweli umeonyesha utukufu wa wanaume
Anae amini kuwa manya nya ameonyesha utukufu wetu sisi wanume bonyeza apo chini
👇👇
Like kwa BABA ASMA anavyowapambania vijana wake halafu wengine wanamsaliti. 😢
Manyanya umekwishaa, pumbavvv umemridhisha mkeo umejimaliza !
Nimecheka sana huyu mlokole ila nimejifunza jambo🤣🤣🤣🤣
Hello guy's I'm Uncle Wylie From Kenya I'm Enjoying Your Series Dunia (IKO POA SANA ENDELEHENI SANA)
Wakwanza Mimi Toka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Church boy nimekwish mim😂😂bil shak hiii filamu niyikipaji n ina fundisho ndani yake. Like plz
Matirda kuya Congo 🇨🇩 Lubumbashi nikupe mapenzi ya congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Maua pokea manyanya hahaha wanawake ndo tulivyo tunalisishana maisha ambay tumepitia 😅😅
Church boy Kala mzigo mbwa zake😅😅😅😂😂😂
𝒌𝒂𝒃𝒂𝒌𝒘𝒂 𝒔𝒊𝒐 𝒂𝒎𝒓𝒊 𝒚𝒂𝒌𝒆 😂😂😂
Kapoteza mume😂😂😂
@@m.mmarckus6298 😂😂😂😂😂😂😂😂kashamuharibia uvlana wake jamni
🤣🤣 hakuna mkate mgumu mbele ya chai